MatokeoChanya

NCHI YETU NI TAJIRI SANA LAKINI TUSIPOKUWA MAKINI HUU UTAJIRI TUNAUPOTEZA..

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja, ameonya juu ya hatari ya kupoteza rasilimali za taifa endapo juhudi madhubuti hazitachukuliwa kulinda mazingira. Akizungumza katika Maonyesho ya Sabasaba 2025, Eng. Luhemeja amesema Tanzania imebarikiwa kuwa na ardhi yenye rutuba, mito, maziwa, misitu, na viumbe hai wa aina …

Soma zaidi »

ENG. LUHEMEJA AZINDUA SIKU YA MAZINGIRA SABASABA 2025

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja, ametembelea Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (DITF) yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Akiwa katika banda la Mazingira, Eng. Luhemeja amezindua rasmi Siku ya Mazingira ndani ya maonyesho hayo na kutoa wito …

Soma zaidi »

ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA IKITOLEWA MUBASHARA NDANI YA VIUNGA VYA SABASABA

Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (2025), Wizara ya Katiba na Sheria inaendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia kampeni ya elimu na msaada wa kisheria bila malipo. ๐ŸŽฏ Katika banda hili maalum, wananchi wanapata: โœ… Elimu juu ya haki zao kikatiba na kisheria โœ… Ushauri wa …

MAONESHO YA SABASABA: BANDA KATIBA NA SHERIA LINAENDELEA KUTOA HUDUMA.

Katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba, wananchi wanaendelea kupata elimu na msaada wa kisheria BURE kutoka kwa wataalamu mbalimbali wa sheria. Hii ni sehemu ya kampeni ya serikali inayolenga kuhakikisha kila Mtanzania anafahamu haki zake na kupata msaada wa kisheria pale inapohitajika. ๐ŸŽฏ Huduma zinazotolewa: โœ… …

Soma zaidi »

๐ŸŒฟ SIKU YA MAZINGIRA NDANI YA MAONESHO YA SABASABA 2025 ๐ŸŒฟ

Tazama tukio maalum la kuadhimisha Siku ya Mazingira ndani ya maonesho ya 48 ya Sabasaba, likiwa limebeba kaulimbiu ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa vitendo. Katika video hii utashuhudia: โœ… Ushiriki wa taasisi mbalimbali za mazingira โœ… Utoaji wa elimu kwa wananchi juu ya mabadiliko ya tabianchi, usafi wa mazingira …

Soma zaidi »