Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Cyprian Luhemeja, ameonesha kufurahishwa na namna taasisi mbalimbali zimeipa kipaumbele ajenda ya mazingira katika Maonyesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba. Akiwa katika ziara ya kutembelea mabanda, Eng. Luhemeja amesema kuwa karibu kila banda alilopita limeweka mbele elimu, suluhisho na jitihada zinazohusu utunzaji wa mazingira – jambo linaloonyesha mwamko na mshikamano wa kitaifa katika kulinda mazingira yetu.
Tazama video hii ujionee mwenyewe jinsi maonesho haya yamekuwa jukwaa la elimu, ubunifu na hatua madhubuti zinazochukuliwa kwa pamoja kuijenga Tanzania safi, salama na endelevu kimazingira.
#Sabasaba2025 #EngLuhemeja #MazingiraNiUhai #OfisiYaMakamuWaRais #MazigiraKwanza #DITF2025
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+