Kuanzia Mei 14 hadi 19, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imefanikisha uteketezaji wa ekari 157 zamashamba ya bangi yaliyokuwa katika vijiji vya Ntomoko, Kinyasi na Haubi
MatokeoChanya
May 22, 2025
CCM, DAWA ZA KULEVYA, DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
251 Imeonekana