WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA MTANDAO KWA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO

Wananchi wametakiwa kutumia mtandao (eRITA) kuomba usajili wa vyeti vya kuzaliwa na vifo, huduma ambayo imeboreshwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili kurahisisha huduma kwa watanzania kote nchini. Mfumo huu wa mtandaoni unalenga kutoa huduma kwa haraka, kwa uwazi, na kwa gharama nafuu bila kuwasababishia wananchi usumbufu wa mara kwa mara kupitia ofisi za makazi.

Katika tafsiri ya sera hii, Patricia Mpuya, Meneja wa Usajili kutoka RITA, amesisitiza umuhimu wa wananchi kutumia mfumo wa eRITA kuwasilisha maombi yao ya vyeti vya kuzaliwa na vyeti vya vifo mtandaoni ili kupata huduma kwa haraka na kwa ufanisi. Ippmedia

๐Ÿ“Œ Tazama video hii kupitia maelekezo ya kina juu ya jinsi ya kutumia mfumo wa usajili wa mtandaoni

๐Ÿ“Œ Usisahau Subscribe, Like, Share na Comment

#eRITA #RITA #VyetiVyaKuzaliwa #VyetiVyaVifo #UsajiliMtandaoni #HudumaZaSerikali #DigitalGovernment #SheriaNaHaki #HakiKwaWananchi #ElimuYaSheria #Tanzania #WananchiKwanza #AccessToJustice #LegalAwareness #GovernmentServices #SmartServices

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *