Talik Azizi Mkawa, mkazi wa Arusha, ni mfano wa kuigwa baada ya kuamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na kuanza ukurasa mpya wa maisha. Baada ya kupata nafuu, Talik amesema aliguswa na wito wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewahimiza vijana waliokuwa waraibu wa dawa za kulevya kujikita …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: October 2025
SERIKALI YA RAIS SAMIA YAWEKA MSINGI IMARA WA KUMPA KILA MTANZANIA HESHIMA NA FURSA
Utu wa mtu ni nguzo muhimu kwa kila binadamu, bila kujali anapitia hali gani katika maisha. Thamani ya utu haiwezi kupimwa kwa mali, cheo, au nafasi bali kwa jinsi tunavyomtendea binadamu mwenzetu. Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeonyesha kwa vitendo kwamba utu ni kipaumbele …
Soma zaidi »KUTOKA TANGA HADI SONGWE, KILIMO KINA BENKIKA πΉπΏπΎ
Safari hii tunachunguza namna kilimo kinavyobadilisha maisha ya Watanzania kutoka Tanga hadi Songwe. Tunazungumza na wakulima, wataalamu, na vijana wanaotumia ubunifu kukuza uchumi kupitia ardhi yao. π Utajifunza: Mbinu bora za kilimo cha kisasa Jinsi kilimo kinavyowezekana kuwa biashara yenye faida Mifano halisi ya mafanikio kutoka mikoa tofauti Kilimo si …
Soma zaidi »DCEA YANASA VIJANA WAKITENGENEZA BISKUTI ZA BHANGI KWA AJILI YA HOUSE PARTY
Katika operesheni maalum iliyofanyika eneo la Mlalakuwa, wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Kudhibiti na Kuapmbana na Dawa za Kulevya (DCEA) wamewakamata vijana wanne wakidaiwa kutengeneza biskuti za bangi kwa ajili ya sherehe ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Watuhumiwa hao ni Bright A. Malisa (26), Humphrey G. Safari …
Soma zaidi »JE..! UNAJUA JUKUMU LA SAFARI YA APOLLO 11, 20/07/1969 β TANZANIA ILIHUSIKA..? ππ
Safari ya Apollo 11 ni moja ya matukio makubwa zaidi katika historia ya ubinadamu β siku ambayo binadamu alikanyaga mwezini kwa mara ya kwanza. Lakini je, unajua kuwa Tanzania ilikuwa sehemu muhimu ya mafanikio hayo? Katika video hii, tunafichua jukumu la kipekee lililochezwa na kituo cha Mawasiliano cha Tanzania wakati …
Soma zaidi »JE HUU NI WAKATI WA FURSA KATIKA KILIMO NA KUJENGA MNYORORO WA THAMANI..?
Huu ni wakati wa kuchukua hatua katika kilimo! Katika video hii tunazungumzia jinsi sekta ya kilimo inavyobadilika na fursa kubwa zilizopo kwa vijana, wakulima, na wawekezaji. Utajifunza: Jinsi ya kujenga mnyororo wa thamani (Value Chain) wenye tija Njia za kuongeza kipato kupitia kilimo cha kisasa Changamoto na suluhisho katika soko …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+