Katika operesheni maalum iliyofanyika eneo la Mlalakuwa, wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Kudhibiti na Kuapmbana na Dawa za Kulevya (DCEA) wamewakamata vijana wanne wakidaiwa kutengeneza biskuti za bangi kwa ajili ya sherehe ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Watuhumiwa hao ni Bright A. Malisa (26), Humphrey G. Safari …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 22, 2025
JE..! UNAJUA JUKUMU LA SAFARI YA APOLLO 11, 20/07/1969 — TANZANIA ILIHUSIKA..? 🌍🚀
Safari ya Apollo 11 ni moja ya matukio makubwa zaidi katika historia ya ubinadamu — siku ambayo binadamu alikanyaga mwezini kwa mara ya kwanza. Lakini je, unajua kuwa Tanzania ilikuwa sehemu muhimu ya mafanikio hayo? Katika video hii, tunafichua jukumu la kipekee lililochezwa na kituo cha Mawasiliano cha Tanzania wakati …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+