NEMC katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Mteja yenye kaulimbiu “Mission Possible” imeweka banda maalum katika ofisi zake ili kurahisisha huduma kwa wateja ikiwa ni pamoja na kujenga mahusiano bora, wadau kutoa maoni, changamoto, na kupatiwa majibu kuhusu huduma za mazingira
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: October 2025
UNAJUA KINACHO ENDELEA BONDE LA MOMBO? ZAIDI YA HEKTA 200 ZINALIMWA MPUNGA
Mikopo Nafuu Yaleta Mapinduzi ya Kilimo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuonyesha dhamira ya dhati ya kuinua sekta ya kilimo nchini. Kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), wakulima wa Skimu ya Umwagiliaji Mombo wamepata fursa ya kupata mikopo …
Soma zaidi »MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA KUSAMEHE WATAKAO KIRI KUFANYA BIASHARA HIYO
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo, ametangaza msamaha kwa wote watakaojisalimisha na kukiri kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, alipokuwa akiteketeza tani 4.402 za dawa za kulevya katika zoezi lililofanyika Oktoba 3, 2025, katika kiwanda cha saruji cha Twiga kilichopo Wazo, jijini …
Soma zaidi »UNAFAHAMU KIWANDA CHA KISASA CHA MAFUTA YA KUPIKIA KINAJENGWA TANZANIA?ANGALIA VIDEO HII
Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyatunze yatutunze
Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyatunze yatutunze
ELIZABETH SAIMON MZURINGI ALIANZA NA MTAJI WA LAKI 2 TU,KWA KWA MSAADA WA TADB SI YULE TENAmp4
Elizabeth alianza safari yake ya ujasiriamali akiwa na mtaji mdogo sana – laki mbili tu (200,000/=). Kwa macho ya wengi, hii ingekuwa ndoto ngumu kufanikisha. Lakini Elizabeth aliamua kuthubutu, kuamini kwenye ndoto zake na kuanza kidogo alichokuwa nacho. Safari yake haikuwa rahisi. Kama vijana wengi wa Kitanzania, changamoto zilikuwa nyingi …
Soma zaidi »UNAJUA KUNA WATU WAMEFANIKIWA KWA MAONO NA UWEZESHWAJI NA TADB? WASILILIZE MWAMAMPULI AMCOS
Wapo watu na vikundi vya wakulima waliowezeshwa na TADB na wakaibua mafanikio makubwa. Mfano bora ni Mwamampuli AMCOS (Agricultural Marketing Cooperative Society) kutoka mkoa wa Shinyanga. Kisa cha Mwamampuli AMCOS Awali: Wakulima wa Mpunga walikuwa wanauza mazao yao ghafi kwa bei ndogo, wakikosa mitaji na masoko ya uhakika. Msaada wa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+