JE HUU NI WAKATI WA FURSA KATIKA KILIMO NA KUJENGA MNYORORO WA THAMANI..?

Huu ni wakati wa kuchukua hatua katika kilimo! Katika video hii tunazungumzia jinsi sekta ya kilimo inavyobadilika na fursa kubwa zilizopo kwa vijana, wakulima, na wawekezaji.

Utajifunza: Jinsi ya kujenga mnyororo wa thamani (Value Chain) wenye tija Njia za kuongeza kipato kupitia kilimo cha kisasa Changamoto na suluhisho katika soko la mazao Mifano halisi ya mafanikio katika kilimo cha biashara Usikose kujua kwa nini huu unaweza kuwa wakati bora zaidi kuwekeza na kushiriki katika mapinduzi ya kilimo Tanzania! ๐ŸŒพ

๐Ÿ‘‰ Tazama hadi mwisho, jiandikishe (subscribe), na share video hii ili wengine nao wanufaike.

#KilimoBiashara #FursaZaKilimo #ValueChain #Wakulima #Ujasiriamali

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *