Mikopo Nafuu Yaleta Mapinduzi ya Kilimo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuonyesha dhamira ya dhati ya kuinua sekta ya kilimo nchini. Kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), wakulima wa Skimu ya Umwagiliaji Mombo wamepata fursa ya kupata mikopo …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: September 2025
UKIONA FULSA CHANGAMKIA, SIKILIZA NA JIFUNZE KWA WATANZANIA WA KISHAPU FOOD WALIVYOWEZESHWA NA TADB
Katika video hii tunakupeleka Kishapu, ambako Watanzania wa Kishapu Food wamepata uwezeshaji mkubwa kupitia TADB (Tanzania Agricultural Development Bank). Utajifunza: ✅ Jinsi TADB inavyowawezesha vijana na wakulima kupata mikopo nafuu. ✅ Hatua zilizochukuliwa na Kishapu Food kufanikisha ndoto zao. ✅ Ushauri kwa vijana na wajasiriamali wa Tanzania kuchangamkia fursa zilizopo …
Soma zaidi »PIGA, ULIZA
NEMC leo tarehe 26, Septemba, 2025 imefanya kikao na wadau kutoka Benki ya Dunia ili kujadili fursa za mazingira zinazoweza kuchangia katika uongezaji wa thamani kwenye shughuli za utafiti, uchimbaji na uchenjuaji wa madini
NEMC yaungana na wadau mbalimbali katika kuadhimisha Siku ya Afya mazingira Duniani, ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 26 Septemba. Siku hii inakumbusha jamii kuhusu wajibu wa kulinda afya za watu na mazingira yanayotuzunguka
NEMC, TANAPA yahudhuria kikao cha Kimataifa cha Kamati ya Programu ya UNESCO ya Binadamu na Hifadhi Hai jijini Hangzhou China Pichani ni Mkurugenzi Mkuu NEMC Dkt. Immaculate S Semesi), Meneja DERM (Dkt. Rose Sallema) na Mr. Albert Mziray Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi TANAPA
Mazingira yetu, uhai wetu. Tuyatunze yatutunze
NEMC yashiriki maadhimisho ya 22 ya Siku ya Wahandisi nchini (AED 2025) yayofanyika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam kuanzia tarehe 24 – 26 Septemba, 2025 chini ya kauli mbiu “Kufanikisha Dira ya 2025 na Kusonga Mbele kuelekea Dira ya 2050”
Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyatunze yatutunze
WADAU WA MAENDELEO WAVUTIWA NA UKAGUZI WA MAZINGIRA UNAOFANYWA NA NEMC
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linaendelea na ukaguzi wa Mazingira kwenye miradi ya Maendeleo jijini Dar es Salaam, wadau mbalimbali waonesha kuridhishwa na zoezi hilo.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+