Katika video hii tunakupeleka Kishapu, ambako Watanzania wa Kishapu Food wamepata uwezeshaji mkubwa kupitia TADB (Tanzania Agricultural Development Bank). Utajifunza:
✅ Jinsi TADB inavyowawezesha vijana na wakulima kupata mikopo nafuu.
✅ Hatua zilizochukuliwa na Kishapu Food kufanikisha ndoto zao.
✅ Ushauri kwa vijana na wajasiriamali wa Tanzania kuchangamkia fursa zilizopo kwenye kilimo na viwanda vya usindikaji. Fursa haingoji mtu — ukiona nafasi, changamkia na ujifunze kutoka kwa waliowahi kufanikisha ndoto zao.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+