Maktaba ya Kila Siku: September 20, 2025

HOSPITALI YA MWANANYAMALA YANUFAIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USAFI DUNIANI, NEMC NA DEPO WAFANYA USAFI

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika kuadhimisha Siku ya Usafi Duniani tarehe 20 Septemba,2025 kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa mazingira wakiwemo DEPO, limefanya usafi Hospitali ya Mwananyamala na maeneo mengine nchi nzima ambapo Kanda 13 zikitoa huduma za Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira.

Soma zaidi »