Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao ya chakula, biashara na malisho kwa kutumia ardhi, mbolea, maji, nguvu kazi, teknolojia na maarifa. Kilimo pia hujumuisha ufugaji wa wanyama, uvuvi, na shughuli nyingine za kuongeza thamani kama usindikaji wa mazao na uhifadhi.
#mazingira #samiasuluhuhassan๐โค๐น๐ฟ #VPO #sisinitanzania #ikulumawasiliano #nemctanzania @nemctanzania