Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge Ndg. Baraka Leonard
MatokeoChanya
May 20, 2025
CCM, Demokrasia, DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
323 Imeonekana