Katika kilele cha sherehe za Mei Mosi 2025, hotuba ya Rais Samia imegeuka kuwa chemchemi ya matumaini baada ya kutangaza mshahara wa chini kufikia Shilingi 500,000 kuanzia Julai, ishara ya mapinduzi ya kijamii na kiuchumi