RAIS SAMIA AANDIKA HISTORIA MPYA YA MASLAHI YA WAFANYAKAZI

Ametangaza ongezeko la asilimia 35.1 kwa mshahara wa chini wa watumishi wa umma, hatua inayodhihirisha dhamira ya kweli ya Serikali kuboresha maisha ya wafanyakazi.

#katibanasheria #MSLAC #SSH #SisiniTanzania

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *