Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu), ametoa hotuba yenye msukumo mkubwa katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika Kitaifa leo tarehe 1 Mei 2025 mkoani Singida.
Katika hotuba hiyo, Mhe. Waziri amewapongeza wafanyakazi kwa mchango wao mkubwa katika ujenzi wa Taifa na kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha ajira, kukuza ujuzi kwa vijana, na kulinda haki za wafanyakazi na watu wenye ulemavu.
๐ค Mgeni Rasmi: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
๐ Tarehe: 1 Mei 2025
๐ Mahali: Singida โ Uwanja wa Namfua
๐ค Mzungumzaji: Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete โ Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)
#MeiMosi2025 #RidhiwaniKikwete #Wafanyakazi #Ajira #Vijana #SamiaSuluhu #Singida #TanzaniaKazini #WenyeUlemavu
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+