Recent Posts

Uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Meatu

Uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Meatu kinaongeza thamani ya pamba, Kuongeza kipato cha wakulima, Kutengeneza ajira, Kuimarisha kilimo endelevu, Kupunguza umasikini na kulinda mazingira. Pia Kinaendeleza sekta ya pamba kwa kutoa mafunzo na mbegu bora.

Soma zaidi »

SERIKALI KUTOA RUZUKU KWA WAFUGAJI

Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali itagharamia 100% chanjo ya Kuku, uwekaji hereni na 50% ya gharama ya chanjo ya wanyama wengine #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI

Soma zaidi »

DKT. AKINWUMI ADESINA ASAFIRI

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Akinwumi Adesina amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 4 aliyoifanya chini Tanzania kuanzia tarehe 12 hadi 15 Juni 2025, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Soma zaidi »