Muonekano wa Kiwanja cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kiwanda cha utengenezaji wa mabomba ya maji na uchakataji wa pamba kilichopo Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Recent Posts
LIVE:WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA – DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, amezindua rasmi Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia jijini Dar es Salaam. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wote, hususan makundi yenye uhitaji kama wanawake, vijana, wazee, na watu wenye …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIMUAPISHA JAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akimuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Ikulu Chamwino-Dodoma, leo tarehe 15 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato wakati wa ziara yake Mkoani humo Juni 14,2025.
Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan akikagua barabara Dodoma
Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti ya picha alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato wakati wa ziara yake Mkoani humo leo Juni 14,2025.
Soma zaidi »BARABARA YA DR. AKINWUMI ADESINA
Muonekano wa Barabara ya Mzunguko ya Dr. Akinwumi Adesina (Dodoma outer ring road) yenye urefu wa km (112.3) Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2025.
Soma zaidi »SAUTI MPYA YA UZALENDO, βSISI NI TANZANIA!β
π¬ Hakika, huu si muda wa kukaa kimya β ni wakati wa kusimama, kusema na kutenda. Sisi si watazamaji, SISI NI TANZANIA! πΉπΏ π Bonyeza Subscribe, Like, na Share ili ujumbe huu uwafikie vijana wote wa Tanzania! π Tuambie kwenye comment: Wewe kama kijana, unalijengeaje taifa lako? #SisiNiTanzania #VijanaNaMaendeleo #MatokeoChanyA …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »π »π Έπ π ΄ RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »Barabara ya Mzunguko ya Dodoma kuitwa Barabara ya Dkt. Akinwumi Adesina
Katika kutambua mchango mkubwa wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika utekelezaji wa miradi hiyo na katika kuchangia maendeleo ya miundombinu nchini Tanzania, Rais Dkt. Samia ameridhia pendekezo la Wizara ya Ujenzi la kuipa jina barabara hiyo ya mzunguko wa nje wa Dodoma la βBarabara ya Dkt. Akinwumi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




