tarehe 20 Juni, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mradi wa Maji wa Butimba jijini Mwanza na kuzungumza moja kwa moja na wananchi waliokusanyika kwa shangwe na matumaini makubwa. Mradi huu wa kimkakati unalenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama …
Soma zaidi »Recent Posts
MHE. RAIS SAMIA NA MCHANGO WAKE KWENYE SHULE ZA AMALI , AHIMIZA WANAFUNZI KUJIBIDISHA
“Hatufunzi tu kwa darasani, tunajenga kizazi cha wabunifu na wachapakazi. Tanzania mpya ni ya vijana wenye ujuzi.” — Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Soma zaidi »Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, tarehe 26 Juni 2025
#WorldDrugDay #DCEA
Soma zaidi »MAJI LAMADI MWA MWA MWAAAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025 #MatokeochanyA #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Daraja la J. P. Magufuli ni alama ya maendeleo ya kisasa na heshima kwa urithi wa uongozi wa awamu ya tano
Linaendeleza dira ya Tanzania ya kuwa na miundombinu ya kisasa inayochochea uchumi, kuunganisha watu na kuboresha maisha ya kila Mtanzania. #MatokeochanyA #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI BAADA YA KUFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO–BUSISI)
Mwanza, 19 Juni 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza na wananchi katika viwanja vya Chuo cha Ufundi Kalwande, jijini Mwanza, mara baada ya kuzindua rasmi Daraja la JP Magufuli (Kigongo–Busisi) lenye urefu wa kilomita 3.0. Katika hotuba yake, Rais Samia amepongeza …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI – HISTORIA YANDIKWA UPYA ZIWA VICTORIA
Tarehe 19 Juni 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alifungua rasmi Daraja la JP Magufuli (Kigongo–Busisi) lenye urefu wa kilomita 3.0, pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66 katika mkoa wa Mwanza. Hii ni hatua ya kihistoria na ya kimkakati katika …
Soma zaidi »RAIS SAMIA ASISITIZA MAENDELEO SHIRIKISHI BUSIGA – ASHIRIKISHA WANANCHI KATIKA UTEKELEZAJI WA KATIBA
Katika hotuba yake kwa Wananchi wa Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu tarehe 19 Juni 2025, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitekeleza moja ya wajibu wake wa kikatiba chini ya Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka …

Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+