Kukamilika kwa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwambasha iliyopo Mkoa wa Shinyanga DC ni hatua kubwa ya maendeleo inayotoa matumaini mapya kwa vijana wa kila rika na kuleta ustawi kwa jamii nzima. Mafanikio haya yana mchango mkubwa katika nyanja mbalimbali za kijamii na kiuchumi kama ifuatavyo: Kwanza, shule hii inatoa elimu …
Soma zaidi »Recent Posts
🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MWAKA NA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Mwaka Mpya wa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, Wawakilishi wa Heshima na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, katika hafla inayofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, leo tarehe 15 Januari, …
Soma zaidi »WEWE UNALIA PETE YAKO ILIYOVAA SIO NZURI , WAKATI MWENZAKO ANALIA HANA HATA HICHO KIDOLE CHA PETE.
MHE , RAIS , DKT . SAMIA SULUHU HASSAN…..
Soma zaidi »TUNATARAJIA KUALIKA SEKTA BINAFSI ZA DUNIA YOTE .. – MHE RAIS. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
TADB YAENDELEA KUWANUFAISHA VIJANA KUPITIA MIKOPO NA UWEZESHAJI
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania @TADB imeendelea kuwa mdau muhimu katika kuwawezesha vijana kushiriki kikamilifu kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi na kuongeza thamani ya mazao. Kupitia mikopo na programu maalum za uwezeshaji, TADB inalenga kuwafanya vijana waone kilimo kama biashara yenye faida, si shughuli ya kujikimu tu. 1. Mikopo Rafiki …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




