UWEKEZAJI

RAIS SAMIA AKAGUA MABORESHO YA MRADI WA GATI MBILI MPYA MRADI WA BANDARI YA TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 1 Machi 2025, amefanya ziara ya ukaguzi katika Bandari ya Tanga ili kujionea maendeleo ya mradi wa maboresho unaojumuisha ujenzi wa gati mbili mpya. Mradi huu unalenga kuboresha uwezo wa bandari hiyo katika kuhudumia shehena kubwa …

Soma zaidi »

UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA MADINI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuboresha, kuvutia na kuwakaribisha wawekezaji katika sekta ya madini ili kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Pato la Taifa kwa ujumla. Dkt. Biteko ameongeza kuwa Rais Mhe. Dkt. Samia ametenga …

Soma zaidi »