UCHUMI

KAZI NA UTU: SAFARI YA TANZANIA MPYA CHINI YA RAIS SAMIA KAZI, UTU, NA KUSONGA MBELE

Hii siyo tu kauli ya kisiasa au ya mazoea, bali ni dira ya ujenzi wa taifa inayobeba falsafa ya maendeleo ya binadamu, matumizi sahihi ya rasilimali, na kulinda misingi ya haki, usawa na ustawi wa wote. 1. KAZI: Nguzo ya Uchumi na Maendeleo ya Taifa Kazi katika muktadha wa Tanzania …

Soma zaidi »

KOROSHO YA TANZANIA, DHAHABU NYEUPE INAYOITANGAZA NCHI KIMATAIFA.

๐ŸŽฅ Usikose kutazama mpaka mwisho ili kufahamu jinsi “dhahabu hii nyeupe” inavyobadili maisha ya Watanzania na kuiweka Tanzania katika ramani ya biashara ya kimataifa. ๐Ÿ”” Subscribe kwa taarifa zaidi kuhusu kilimo, biashara na maendeleo ya Tanzania. #KoroshoTanzania #KilimoBiashara #MadeInTanzania #UchumiWaKijani #ChanyATV

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO

Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.

Soma zaidi »

NAJIVUNIA NCHI YANGU TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Tazama jinsi Watanzania wanavyojivunia nchi yao kupitia historia, utamaduni, vivutio vya utalii, maendeleo ya miundombinu, na jitihada za kulijenga taifa letu kwa mshikamano. ๐Ÿ”ฅ Pata msukumo wa kuwa Mtanzania mzalendo zaidi! ๐ŸŽฅ Angalia, toa maoni yako, na usisahau kusambaza ujumbe huu wa uzalendo kwa wengine. #NajivuniaTanzania #Uzalendo #VijanaWaKitanzania #Maendeleo #AmaniNaUmoja …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema pamoja na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Barani Afrika kutumika kuwekeza katika kuendeleza miundombinu ni vema kuhakikisha michango ya wanachama ambayo imetengwa kama kinga dhidi ya misukosuko ya kiuchumi na kijamii pamoja na kukabiliana na umaskini inabaki kuwa ya kutosha kukidhi malengo ya msingi ya uanzishwaji wake

Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akifungua Mkutano wa 14 wa Kimataifa wa Watunga Sera wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Barani Afrika unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Amesisitiza kuwepo umakini kwenye uwekezaji wa miradi ya miundombinu kwani miradi ambayo haiwezi kutekelezeka inaweza kudhoofisha …

Soma zaidi »

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ina umeme wa kutosha hatua ambayo imechangiwa na kukamilika kwa Miradi mikubwa ya uzalishaji umeme ukiwemo Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ambao pekee unazalisha Megawati 2115

Naibu Waziri Mkuu ameyasema hayo Julai 10, 2025 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya kuzalisha umeme kwa gesi asilia katika vituo vya Kinyerezi I, Kinyerezi I Extension na Kinyerezi II ambapo amesema licha ya kazi kubwa inayofanywa na TANESCO yapo baadhi ya maeneo yalikua na changamoto …

Soma zaidi »

ALIYEKUWA MRAIBU WA DAWA ZA KULEVYA ATOA SHUKRANI KWA DCEA KWA KUMREJESHA KUISHI MAISHA MAPYA

Rehema Peter Mjindo, mmoja wa waathirika wa zamani wa dawa za kulevya, ameeleza kwa furaha jinsi alivyofanikiwa kuachana kabisa na matumizi ya dawa za kulevya kupitia msaada alioupata kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA). Rehema amesema kuwa kupitia huduma ya matibabu na ushauri aliopewa, alifanikiwa …

Soma zaidi »