RAIS AKITEMBELEA BANK YA KILIMO KAMA MDHAMINI MKUU WA MAONESHO YA NANENANE
Sauti ya Mkulima Inasikika Nanenane – Kilimo siyo Hadithi Tena
Kauli “Sauti ya Mkulima Inasikika Nanenane – Kilimo Siyo Hadithi Tena” ni mwito na ushahidi wa mabadiliko chanya yanayotokana na uwekezaji katika maarifa, miundombinu, teknolojia na ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi na wakulima. Nanenane si tukio la maonyesho tu – ni daraja kati ya mkulima wa jana na shujaa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+