Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ameeleza kuwa ni gharama kubwa sana kukabiliana na uharibifu wa Mazingira, lakini Mataifa ya Afrika Mashariki Yanapochukua hatua za Mapema itaepusha gharama za baadae za kurejesha Mazingira. Ni lazima Nchi zote za Afrika Mashariki zikaiga kwa Tanzania sasa zikahamasisha matumizi ya nishati safi ya …
Soma zaidi »“KULINDA MAZINGIRA NI MIONGONI MWA NEEMA NYINGI AMBAZO MTUME MOHAMED, AMEAGIZA KULINDA
Nchi inaposhindwa kulinda Neema ya mazingira kwa ajili yetu na kizaji kijacho Mungu anaweza kuondosha Neema nyingine nyingi kwenye nchi. Ameahidi kumuunga mkono na yupo tayari kupokea maagizo yoyoyte ya Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ya kulinda Mazingira.
Soma zaidi »ARUSHA 6Washiriki Wajumuika Arusha Kusherehekea Mafanikio ya Ushirikiano wa Kikanda
Mkutano huu pia umehudhuriwa na wadau wakuu wakiwemo wawakilishi wa Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Mataifa (UN), jumuiya nyingine za kikanda, mabalozi, viongozi wa sekta binafsi, mashirika ya kiraia, na wasomi. Washiriki wamejadili hatua zilizopigwa katika nyanja mbalimbali kama vile biashara ya kikanda, usafirishaji, na usalama wa kikanda, huku …
Soma zaidi »Kaulimbiu ya Miaka 25 ya EAC: Kutafakari na Kujenga Mustakabali wa Baadaye
Kaulimbiu ya maadhimisho, “Miaka 25 ya Ushirikiano wa Kikanda: Safari ya Kutafakari na Matarajio ya Baadaye,” inatoa mwelekeo wa majadiliano ya jinsi EAC inavyoweza kuimarisha mshikamano wa kiuchumi, kijamii, na kisiasa miongoni mwa nchi wanachama, ambazo ni Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania, Uganda, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Soma zaidi »Viongozi wa EAC Wakutana Arusha Kutafakari Safari ya Robo Karne
Katika tukio la kihistoria linaloangazia miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wakuu wa nchi na serikali kutoka mataifa wanachama wamekutana jijini Arusha, Tanzania. Maadhimisho haya yanalenga kutafakari mafanikio, changamoto, na fursa zilizoshuhudiwa katika safari ya ushirikiano wa kikanda tangu kuanzishwa kwa jumuiya hii mwaka 1999.
Soma zaidi »Arusha Yaadhimisha Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Sherehe Maalum.
MATOKEO YA JUMLA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NCHINI TANZANIA , ULIOFANYIKA TAREHE 27 NOVEMBA 2024
https://drive.google.com/file/d/16UlPZ_7QcKhaXOLse57FYasuF_M8lmLz/view?usp=drivesdk
Soma zaidi »Tunapiga kura si kwa sababu ya siasa, bali kwa sababu ya mustakabali wa taifa letu na vizazi vijavyo
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele katika kuhimiza ushirikishaji wa jamii katika mapambano dhidi ya njaa nchini Tanzania. Ameweka msisitizo kwenye kuboresha usalama wa chakula kupitia mipango mbalimbali inayolenga kuongeza uzalishaji wa kilimo na kuhakikisha upatikanaji wa chakula kwa wananchi wote
Katika mkutano wa G20 unaotarajiwa kufanyika Rio de Janeiro, Brazil, tarehe 18 hadi 19 Novemba 2024, Rais Samia amealikwa kushiriki kama mgeni mwalikwa. Ushiriki wake katika mkutano huu ni fursa muhimu kwa Tanzania kuwasilisha ajenda zake kuhusu usalama wa chakula na ushirikishaji wa jamii katika mapambano dhidi ya njaa. Kupitia …
Soma zaidi »Tanzania Itakuwa Bora Na Imara Ikiwa Kila Mmoja Wetu Atatimiza Wajibu Wake Wa Msingi
Wapendwa Watanzania wenzangu, wakati wa kuchagua viongozi wetu unakaribia. Ni fursa adhimu na ya kipekee kwa kila mmoja wetu kuamua mustakabali wa taifa letu. Kupiga kura ni haki yetu ya msingi, lakini zaidi ya haki ni wajibu wa kila mmoja katika kujenga Tanzania tunayoitaka.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+