Demokrasia

“NATARAJIA SASA KILE KITI UTAKIACHA NA UTASHUKA NA WATAALAMU KWENYE FILD UKAFANYE KAZI YAKO”

Haya ni maelekezo makini na yenye msisitizo kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bi Aisha. Rais anaonyesha umuhimu wa mawaziri kushuka hadi ngazi za chini ili kushirikiana moja kwa moja na wananchi na wataalamu kwenye sekta husika, hasa katika utekelezaji wa miradi na …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA ANASHIRIKI KWENYE MJADALA WA WAKUU WA NCHI AFRIKA MASHARIKI

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameongoza Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika jijini Arusha. Mkutano huu umewaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama kujadili masuala muhimu yanayoathiri kanda na mustakabali wa jumuiya. Mantiki ya Mjadala: Ufadhili Endelevu wa Jumuiya: Wakuu …

Soma zaidi »

MIAKA 63 YA UHURU WETU MAANDAMANO MAKUBWA YAKIFUATIWA NA KULIOMBEA TAIFA MKOANI ARUSHA

Katika kuadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika ipate uhuru wake tarehe 9 Desemba 1961, mkoa wa Arusha umeandika historia kwa kushuhudia maandamano makubwa na maombi maalum ya kuliombea taifa. Tukio hili, lililovuta hisia za wengi, limeleta pamoja maelfu ya wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii, wakiwemo viongozi wa dini, serikali, wanaharakati, …

Soma zaidi »

Takwimu za Maendeleo ya Miundombinu ya Barabara Jijini Dar es Salaam

Jiji la Dar es Salaam limeendelea kushuhudia maendeleo makubwa katika ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara ili kukidhi mahitaji ya wakazi wake wanaoongezeka kwa kasi. Serikali, kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara …

Soma zaidi »

Mkutano wa 21 wa Majaji wa Afrika Mashariki. Fursa kwa Haki, Ushirikiano, na Maendeleo ya Tanzania

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 03, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Ishirini na Moja wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Grand Melia, jijini Arusha Mkutano wa Ishirini na Moja wa Chama …

Soma zaidi »

UGANDAN AMBASSADOR FRED MWESIGE PROMISES COOPERATION IN ENVIRONMENTAL PROTECTION AND FOOD SAFETY

He explained that in promoting food security like Tanzania, Uganda has a system to encourage young people to cultivate commercial and food crops known as PDM which provides one hundred million and four hectares of land to each district for growing food and fruits.

Soma zaidi »

KUPITIA BBT YA TANZANIA, UGANDA WAMEANZISHA MFUMO WA HEKARI NNE (THE 4 ACRE MODEL) KWA KAYA.

Kupitia mfumo wa hekari 4 kwa kaya, Uganda inafanya jitihada za kutafuta masoko kwa ajili ya kuwapatia wananchi kutumia ardhi kwa uzaishaji ili wapate fedha ambazo watazitumia kufunga umeme, kununua gesi na kuachana na matumizi ya nishati chafu ya kupikia.

Soma zaidi »

Tumefurahi Sana Kuja Tanzania Nchi Ya Amani, Hii Ngoma Haiwezi Kupigwa Mahali Ambapo Hakuna Amani.

AMAGHABA NI NGOMA YA ASILI YA BURUNDI INAPIGWA KWENYE SHEREHE ZA AMANI PEKEE TANZANIA NI NCHI YA AMANI NDIO MAANA TUPO HAPA Tumefurahi sana kuja Tanzania nchi ya amani, hii ngoma haiwezi kupigwa mahali ambapo hakuna amani.

Soma zaidi »