SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya #DCEA imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki wa hip hop nchini, Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu …
Soma zaidi »ONA JINSI TANI 18 4 YA SHEHENA YA DAWA MPYA YA KULEVYA NA WATUHUMIWA WALIVYOKAMATWA DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata shehena ya dawa mpya ya kulevya aina ya mitragyna speciosa mifuko 756 yenye uzito wa jumla ya kilogramu 18,485.6 sawa na tani 18.5 iliyokuwa ikiingizwa nchini kama mbolea. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2025 na Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas …
Soma zaidi »DCEA NA ITV WAWEKA MIKAKATI YA USHIRIKIANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amefanya ziara maalum katika ofisi za ITV zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ililenga kuimarisha ushirikiano kati ya Mamlaka na kituo hicho cha habari katika juhudi za kuhabarisha na kuelimisha umma juu ya …
Soma zaidi »DCEA INAJUKUMU LA KUDHIBITI DAWA ZOTE ZA KULEVYA TANZANIA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ni chombo cha serikali chenye jukumu la kusimamia, kudhibiti na kupambana na matumizi, biashara na usambazaji wa dawa zote za kulevya ambazo ni haramu nchini. DCEA hufanya kazi ya kuzuia uingizaji na utengenezaji wa dawa hizi, kuteketeza mashamba ya mimea …
Soma zaidi »MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA TUPO NANE NANE DODOMA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) inashiriki kikamilifu katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika jijini Dodoma. Unapofika kwenye lango kuu la kuingilia viwanja vya maonesho, takribani mita 100 upande wa kushoto, utaliona banda la Ofisi ya Waziri Mkuu likiwa na maonyesho ya kipekee kutoka DCEA. Karibu ulitembelee …
Soma zaidi »MALEZI BORA NI SULUHISHO LA KUDUMU DHIDI YA URAIBU KWA WATOTO – MOHAMED JUMAhttps://youtu.be/1xzUwyOshro
Mohamed Juma, Meneja wa nyumba ya Mamas and Papas House iliyopo Mkuranga, Dar es Salaam, amesema kuwa moja ya chanzo kikuu cha uraibu katika jamii ni ukosefu wa malezi bora kwa watoto kuanzia wakiwa wadogo. Nyumba hiyo imejikita katika kutoa elimu kuhusu malezi na afya ya akili kwa watu walioathirika …
Soma zaidi »VIJANA WAIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KWA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Anna Mathayo Phanga kutoka taasisi ya Blue Cross Society of Tanzania ya jijini Arusha amesema serikali ya awamu ya sita imefanya kazi kubwa ya kuokoa maisha ya Watanzania kwa kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika kinga na tiba dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya. Ameeleza kuwa hatua hizi zimeleta matumaini …
Soma zaidi »VIJANA WAIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KWA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Anna Mathayo Phanga kutoka taasisi ya Blue Cross Society of Tanzania ya jijini Arusha amesema serikali ya awamu ya sita imefanya kazi kubwa ya kuokoa maisha ya Watanzania kwa kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika kinga na tiba dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya. Ameeleza kuwa hatua hizi zimeleta matumaini mapya kwa …
Soma zaidi »ASASI ZA KIRAIA ZAIPONGEZA DCEA KWA USHIRIKIANO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Viongozi wa asasi mbalimbali za kiraia zinazotoa elimu ya athari za matumizi ya dawa za kulevya wameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana nao bega kwa bega katika mapambano dhidi ya janga hilo linaloathiri maisha ya vijana wengi nchini. Miongoni mwa taasisi zilizoshiriki ni …
Soma zaidi »VIJANA WALIOACHANA NA DAWA ZA KULEVYA WAIPONGEZA DCEA
Baadhi ya vijana waliowahi kuwa watumiaji wa dawa za kulevya wameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa juhudi zake thabiti katika kupambana na biashara na matumizi ya dawa hizo. Vijana hao Pendo Athuman, Tonny Michael na Gabriel Nyangasi wamesema kuwa hatua zilizochukuliwa na mamlaka hiyo, …
Soma zaidi »