Wiki ya maadhimisho ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya imeambatana na matukio mbalimbali muhimu. Mnamo Jumatatu, 23 Juni 2025, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) itafanya ziara kwenye vyombo vya habari kuhamasisha jamii, huku Mhe. William Lukuvi akitoa taarifa rasmi Bungeni kuhusu …
Soma zaidi »TANZANIA KINARA WIKI YA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA VIJANA WAPONGEZA USHIRIKI MAANDALIZI
Mara baada ya kufungwa kwa mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa katika kuadhimisha Wiki ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Duniani, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania, Aretas Lyimo, amesema kuwa Tanzania imeonesha dhamira ya kweli kwa vitendo katika mapambano hayo kwa kushirikisha jamii, …
Soma zaidi »MICHEZO YAVUTIA VIJANA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Baadhi ya wananchi walioshiriki kwenye michuano ya mpira wa miguu iliyokuwa ikiendelea jijini Dodoma, wameeleza kufurahishwa na hatua ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kutumia michezo kama jukwaa la kijamii kuhamasisha mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya, hasa kwa vijana. Michuano hiyo, iliyojumuisha …
Soma zaidi »Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya
RAIS SAMIA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA – JUNI 26, 2025
Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Soma zaidi »Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, tarehe 26 Juni 2025
#WorldDrugDay #DCEA
Soma zaidi »Daraja la J. P. Magufuli ni alama ya maendeleo ya kisasa na heshima kwa urithi wa uongozi wa awamu ya tano
Linaendeleza dira ya Tanzania ya kuwa na miundombinu ya kisasa inayochochea uchumi, kuunganisha watu na kuboresha maisha ya kila Mtanzania. #MatokeochanyA #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Athari kubwa ya kiafya ya cocaine ni ipi?
#NiulizeNikuiibu_DCEA #DCEA
Soma zaidi »Je Unaifahamu Cocaine?
#NiulizeNikuiibu_DCEA #DCEA
Soma zaidi »USHINDI VITA DHIDI YA KILIMO CHA MIRUNGI TANZANIA
Mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na washiriki zaidi ya 80 ikiwemo kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Same, Madiwani, watumishi wa Halmashauri, Watendaji ngazi ya Kata, Vijiji na Vitongoji ambapo mgeni rasmi katika mafunzo hayo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe. Kasilda Mgeni.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+