Miongoni mwa masuala mengine, mkutano huo wa mwisho wa mwaka ulijadili jinsi GWPSA inaweza kuongeza ufanisi na kupanua zaidi shughuli zake za kutoa msaada wa kifedha na kitaalamu katika sekta ya maji kwa nchi nyingi zaidi barani Afrika. Kama sehemu ya mikakati ya kufikia lengo hilo, GWPSA imepanga kushirikiana kwa …
Soma zaidi »MatokeoChanya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Desemba 14, 2024 ametembelea kiwanda cha kutengeneza dawa za binadamu cha CURE AFYA kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam
Akizungumza baada ya kushuhudia uzalishaji wa dawa kwenye kiwanda hicho chenye thamani ya takribani shilingi bilioni 50, Waziri Mkuu amesema kuwa Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji ili kuhakikisha wawekezaji wanapata faida kutokana na shughuli zao. “Serikali imefanya uwekezaji mkubwa kwenye …
Soma zaidi »DKT NCHEMBA AIPA KONGOLE SADC KUTAKA KUANZISHA MFUKO WAKE WA MAENDELEO YA KIUCHUMI
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amemwakilisha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), kushiriki Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao wa Zoom, akiwa katika Ofisi …
Soma zaidi »Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema itaendeleakushirikiana na Nchi Wanachama wa Jumuiya ya MaendeleoKusini mwa Afrika (SADC) katika kukabiliana na athari zamabadiliko ya tabianchi katika ukanda huo
Hayo yameelezwa Desemba 11, 2024 Jijini Dodoma na NaibuKatibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi Christina Mndeme wakati wa mazungumzo baina yake naUjumbe wa Wizara ya Maliasili na Mabadiliko ya Tabianchiwa Serikali ya Jamhuri ya Malawi ulioongozwa naMkurugenzi wa Mazingira wa Wizara hiyo, Bi. TawongaMbale-Luka. Mndeme amesema mataifa …
Soma zaidi »KALENDA YA MIHULA YA MASOMO KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA 2025.
RAIS SAMIA AMUAPISHA DKT. DAMAS NDUMBARO KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024.
Soma zaidi »Uzinduzi huu ni hatua muhimu katika kutekeleza misingi ya Katiba ya Tanzania, hasa katika kuhakikisha haki, usawa, na uwajibikaji wa kisheria
Kampeni hii si tu inaleta msaada wa kisheria bali pia inaimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora nchini Tanzania.
Soma zaidi »“NENDA KAANZIE PALE ALIPOREKEBISHA BASHUNGWA, NA UENDELEZE WIZARA YA UJENZI VIZURI” Rais Dkt Samia
“NATARAJIA SASA KILE KITI UTAKIACHA NA UTASHUKA NA WATAALAMU KWENYE FILD UKAFANYE KAZI YAKO”
Haya ni maelekezo makini na yenye msisitizo kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bi Aisha. Rais anaonyesha umuhimu wa mawaziri kushuka hadi ngazi za chini ili kushirikiana moja kwa moja na wananchi na wataalamu kwenye sekta husika, hasa katika utekelezaji wa miradi na …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+