“Tumetengeneza utamaduni wa demokrasia ya uchaguzi, na sehemu ya utamaduni huo ni kutunza amani kabla na baada ya uchaguzi.” โ Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ujumbe huu unasisitiza thamani ya demokrasia tuliyoijenga kama taifa. Uchaguzi siyo tu kura, bali pia ni utamaduni wa kuheshimiana, mshikamano na kulinda amani ya nchi …
Soma zaidi »MatokeoChanya
TUNAPOKUSANYA KUOMBA , MUNGU ATAPOKEA SWALA ZETU, DUA ZETU IKIWA NYOYO ZETU ZINA AMANI – RAIS. SAMIA
“Tunapokusanyika kwa pamoja kuomba, Mungu hupokea sala zetu na dua zetu pale mioyo yetu inapokuwa na amani.” โ Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ujumbe huu unatufundisha kuwa maombi yenye nguvu yanatoka kwenye nyoyo tulivu, zenye upendo na mshikamano. Amani ndani yetu hutengeneza njia ya maombi kupokelewa kwa baraka tele. Huu …
Soma zaidi »NCHI YETU KWANZA NA SISI BINAFSI ZETU BAADAE – MHE. RAIS . DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
๐น๐ฟ Tanzania yenye amani ni Tanzania yenye maendeleo. ๐ Chagua njia za amani, changia mshikamano wa taifa letu. #Amani #Utulivu #Tanzania #Peace #Unity
Soma zaidi »KIPINDI CHA UCHAGUZI UPANDISHA JOTO LA KISIASA NCHINI – RAIS .DKT. SAMIA
๐น๐ฟ Tanzania yenye amani ni Tanzania yenye maendeleo. ๐ Chagua njia za amani, changia mshikamano wa taifa letu. #Amani #Utulivu #Tanzania #Peace #Unity
Soma zaidi »DIRA IMEBEBA NDOTO NA MATARAJIO YA WATANZANIA – RAIS DKT SAMIA SULUHU
Kauli hii ni mwendelezo wa wito wa kizalendo unaotufundisha kwamba dira ya taifa letu haijabaki kwenye karatasi pekee, bali imebeba ndoto, matumaini na matarajio ya kila Mtanzania. Ndoto ya maendeleo, ustawi wa jamii na umoja wa taifa letu. Katika hotuba hii, Rais Samia anasisitiza mshikamano, mshikikano wa kazi na mshirikiano …
Soma zaidi »KUTUMIA NJIA ZA AMANI KUONDOSHA MIGOGORO NDIO KUNAKOLETA AMANI – RAIS . DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Amani ya kweli haipatikani kwa nguvu wala kwa mabishano yasiyoisha, bali hupatikana pale tunapochagua njia za amani katika kusuluhisha migogoro. Kauli hii inatufundisha kuwa mazungumzo, maridhiano, na uvumilivu ndio silaha kubwa zaidi kwa ustawi wa jamii na taifa. Kila mtu ana nafasi ya kuchagua amani badala ya vurugu, mshikamano badala …
Soma zaidi »AMANI INAANZA NA MIMI โ RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Amani ya kweli inaanzia ndani ya moyo wa kila mmoja wetu. Nukuu hii ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inatufundisha kuwa amani si kitu cha mbali โ ni hali ya ndani inayojengwa kwa kutosheka, utulivu, na mshikamano wa kijamii. Kupitia maneno haya, tunaalikwa kukumbuka kuwa kila mmoja wetu ana …
Soma zaidi »UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MAJIMBO NA VITI MAALUM
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinapenda kuwajulisha wanachama wake na umma wa Watanzania kuwa, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha tarehe 23 Agosti, 2025 imefikira na kufanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa …
Soma zaidi »SERIKALI YAREJESHA TABASAMU KWA CHIDI BENZ
SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya #DCEA imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki wa hip hop nchini, Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+