KAMA WEWE NI KIJANA ANGALIA VIDEO HII UNA LA KUJIFUNZA KUZITAMBUA FURSA HAPA.

Video hii inaonesha mafanikio makubwa ya sekta ya kilimo yanayopatikana kupitia uwezeshwaji wa serikali kwa vijana na wananchi kwa ujumla, chini ya juhudi za TADB katika kufungua milango ya mitaji, maarifa na masoko.

๐Ÿ”น Hizi ni fursa halisi, siyo hadithi

๐Ÿ”น Kilimo ni biashara, siyo adhabu

๐Ÿ”น Vijana wana nafasi ya kuinuka sasa

๐Ÿ‘‰ Tazama, jifunze, chukua hatua.

๐Ÿ‘‰ Shiriki video hii kwa kijana mwingine.

#TADB #VijanaNaMaendeleo #FursaKwaVijana #KilimoBiashara #UwezeshwajiWaVijana #SerikaliYaAwamuYaSita #MaendeleoYaTanzania #VijanaTanzania #KilimoTanzania #AjiraKwaVijana #Ujasiriamali #TanzaniaMoja #FursaZipo #UchumiWaKijani #InvestInYouth #MadeInTanzania #TanzaniaDigital #SisiNiTanzania

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *