๐Ÿ”ด#LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MWAKA NA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Mwaka Mpya wa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, Wawakilishi wa Heshima na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, katika hafla inayofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, leo tarehe 15 Januari, 2026.

#WaziriMkuu #Wamachinga #Bodaboda #Bajaji #HabariZaKitaifa #MaendeleoYaWananchi

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *