JE, TANGA WOMAN GALA NDIYO MWAMKO MPYA WA UWEZO NA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA?

Karibu kwenye Tanga Women Gala– jukwaa la mafanikio, ubunifu na mshikamano wa wanawake wa Tanga na Tanzania! Hafla hii ya kipekee iliyoandaliwa na Stara Tanzania inalenga kuwainua wanawake kupitia elimu ya ujasiriamali, mafunzo ya uongozi, na mitandao ya kijamii na biashara.

#chadema TangaWomenGala #WanawakeViongozi #StaraTanzania #Ujasiriamali #UbunifuWaKitanzania

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *