Rais Dkt. Samia Suluhu aongoza Watanzania kwenye maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yaliyofanyika nyumbani kwake kijijini Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro tarehe13 Mei, 2025
MatokeoChanya
May 13, 2025
CCM, Demokrasia, Kilimanjaro, Tanzania, Tanzania MpyA+, ZANZIBAR
322 Imeonekana