NEMC Kanda ya Bagamoyo kwa kushirikiana na Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo pamoja na wadau mbalimbali, imeshiriki Maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani kwa kufanya usafi katika fukwe za bandari ya Bagamoyo

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *