NEMC Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wameungana na watumishi wa taasisi zingine katika maadhimisho ya siku ya usafi duniani kufanya usafi katika soko la Soweto,zoezi liliratibiwa na Hlmashauri ya Jiji la Mbeya kupitia kitengo chake cha usimamizi wa takangumu

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *