Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili Mkoani Iringa ambapo anatarajia kushiriki Maadhimisho ya Miaka Ishirini ya Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) yanayofanyika leo tarehe 14 Mei 2025 katika Viwanja vya Chuo hicho
MatokeoChanya
May 14, 2025
CCM, Demokrasia, DIPLOMASIA, Makamu wa Rais, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+, WIZARA YA ELIMU
42 Imeonekana