Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akisali mbele ya Kaburi la Mtakatifu Rita wa Kashia kabla ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya Pili ya Pasaka katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Rita wa Kashia, lililopo katika Mji wa Cascia nchini Italia leo tarehe 27 Aprili 2025

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *