Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 03, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Ishirini na Moja wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Grand Melia, jijini Arusha Mkutano wa Ishirini na Moja wa Chama …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2024
Manufaa ya Mikutano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa Maendeleo ya Kikanda
Mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaleta manufaa kadhaa kwa wanachama wa jumuiya hiyo pamoja na wananchi wa ukanda huu. Manufaa hayo ni pamoja na: Kuimarisha Ushirikiano wa Kiuchumi Kujadili mikakati ya kuongeza biashara ya kikanda kupitia Soko la Pamoja (Common Market). Kuweka sera zinazorahisisha biashara za mpakani, kama …
Soma zaidi »UGANDAN AMBASSADOR FRED MWESIGE PROMISES COOPERATION IN ENVIRONMENTAL PROTECTION AND FOOD SAFETY
He explained that in promoting food security like Tanzania, Uganda has a system to encourage young people to cultivate commercial and food crops known as PDM which provides one hundred million and four hectares of land to each district for growing food and fruits.
Soma zaidi »KUPITIA BBT YA TANZANIA, UGANDA WAMEANZISHA MFUMO WA HEKARI NNE (THE 4 ACRE MODEL) KWA KAYA.
Kupitia mfumo wa hekari 4 kwa kaya, Uganda inafanya jitihada za kutafuta masoko kwa ajili ya kuwapatia wananchi kutumia ardhi kwa uzaishaji ili wapate fedha ambazo watazitumia kufunga umeme, kununua gesi na kuachana na matumizi ya nishati chafu ya kupikia.
Soma zaidi »Tumefurahi Sana Kuja Tanzania Nchi Ya Amani, Hii Ngoma Haiwezi Kupigwa Mahali Ambapo Hakuna Amani.
AMAGHABA NI NGOMA YA ASILI YA BURUNDI INAPIGWA KWENYE SHEREHE ZA AMANI PEKEE TANZANIA NI NCHI YA AMANI NDIO MAANA TUPO HAPA Tumefurahi sana kuja Tanzania nchi ya amani, hii ngoma haiwezi kupigwa mahali ambapo hakuna amani.
Soma zaidi »WIZARA YA FEDHA ITAWEKA AJENDA YA RAIS DKT SAMIA YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KUWA KIPAUMBELE
Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ameeleza kuwa ni gharama kubwa sana kukabiliana na uharibifu wa Mazingira, lakini Mataifa ya Afrika Mashariki Yanapochukua hatua za Mapema itaepusha gharama za baadae za kurejesha Mazingira. Ni lazima Nchi zote za Afrika Mashariki zikaiga kwa Tanzania sasa zikahamasisha matumizi ya nishati safi ya …
Soma zaidi »“KULINDA MAZINGIRA NI MIONGONI MWA NEEMA NYINGI AMBAZO MTUME MOHAMED, AMEAGIZA KULINDA
Nchi inaposhindwa kulinda Neema ya mazingira kwa ajili yetu na kizaji kijacho Mungu anaweza kuondosha Neema nyingine nyingi kwenye nchi. Ameahidi kumuunga mkono na yupo tayari kupokea maagizo yoyoyte ya Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ya kulinda Mazingira.
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameviagiza vyombo vyote vya usalama vihakikishe watu wote waliokwama ndani ya jengo lililoporomoka katika kata ya Kariakoo jijini Dar es Salaam wanaokolewa huku mali zao zikilindwa.
Ametoa agizo hilo (Jumamosi, Novemba 16, 2024) baada ya kushuhudia juhudi za uokoaji zinavyoendelea baada ya jengo ghorofa nne kuporomoka katika eneo la Karikoo. Akizungumza baada ya kukagua juhudi za uokoaji katika eneo hilo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Majaliwa amesema hadi sasa watu 40 mejeruhiwa ambapo …
Soma zaidi »WIZARA YA FEDHA ITAWEKA AJENDA YA RAIS DKT SAMIA YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KUWA KIPAUMBELE
Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ameeleza kuwa ni gharama kubwa sana kukabiliana na uharibifu wa Mazingira, lakini Mataifa ya Afrika Mashariki Yanapochukua hatua za Mapema itaepusha gharama za baadae za kurejesha Mazingira. Ni lazima Nchi zote za Afrika Mashariki zikaiga kwa Tanzania sasa zikahamasisha matumizi ya nishati safi ya …
Soma zaidi »TANZANIA IMESAMBAZA UMEME VIJIJI 12,300 ILI KULINDA MAZINGIRA
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewleza kuwa Tanzania imesambaza umeme katika vijiji karibia 12,300 kama hatua ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya Aftika Mashariki.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+