Maktaba ya Mwaka: 2024

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anaiwakilisha Serikali katika sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Botswana Gideon Duma Boko zitakazofanyika Katika Uwanja wa Taifa wa nchi hiyo Novemba 8, 2024

Akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Gaborone, Dkt. Biteko amepokelewa na Katibu Mkuu wa Vijana, Jinsia, Utamaduni na Michezo, Bridget John, Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini, Mhe. James Bwana pamoja na maafisa wengine waandamizi wa Nchi hiyo. Mhe. Gideon Duma Boko ni Rais wa Sita Botswana kupitia chama cha …

Soma zaidi »

AMAZING TANZANIA FILM -Rais wa Tz Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanziba Dkt Hussein Ally Mwinyi

“Amazing Tanzania” ni filamu iliyorekodiwa kwa lugha za Kichana, kiswahili na Kiingereza ambayo Washiriki wakuu ni Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanziba Dkt Hussein Ally Mwinyi ambayo inaonyesha uzuri wa Tanzania kupitia mandhari ya kipekee, utamaduni wa kuvutia, na wanyamapori wa ajabu. Filamu hii imeangazia …

Soma zaidi »

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizungumza na vyombo vya habari, akisisitiza umuhimu wa usalama wa chakula na kilimo endelevu katika kukabiliana na changamoto zinazokabili dunia leo. Katika hotuba yake, Dkt. Samia alieleza dhamira ya …

Soma zaidi »

Tathmini ya Mradi wa Umeme wa Gesi Asilia wa Kinyerezi I na II na Mchango wake kwa Maendeleo ya Tanzania

Mradi wa Umeme wa Gesi Asilia wa Kinyerezi I na II ni sehemu muhimu ya juhudi za Tanzania kuongeza uwezo wa kuzalisha umeme na kufikia malengo ya nishati endelevu. Mradi huu umelenga kutumia gesi asilia iliyopo nchini kama chanzo cha umeme, hivyo kupunguza utegemezi wa mafuta ya nje na vyanzo …

Soma zaidi »

ZINGATIENI MISINGI YA UTAWALA BORA KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wasimamizi wote wa rasilimaliwatu wazingatie misingi ya utawala bora na weledi katika kuisimamia rasilimali hiyo katika Sekta ya Umma Barani Afrika. Amesema kuwa kufanya hivyo kutasaidia kwa kiasi kikubwa kuwezesha kutoa huduma bora na kudumisha imani ya wananchi kwa Serikali zao. Ametoa wito …

Soma zaidi »

Tathmini ya Mradi wa Umeme wa Gesi Asilia wa Kinyerezi I na II na Mchango wake kwa Maendeleo ya Tanzania

Bofya link hapo chini , tuendelee kupata taarifa hii https://matokeochanya.blogspot.com/2024/11/tathmini-ya-mradi-wa-umeme-wa-gesi.html…#MSLAC#Katibanasheria#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya

Soma zaidi »