Kupitia uwezeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Elizabeth Mzuringi β mnunuzi na mchakataji wa mpunga β ameleta mabadiliko makubwa katika sekta ya kilimo-biashara wilayani Kahama. Kwa msaada wa uwekezaji wa mtaji na ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mpunga, Elizabeth ameweza kununua mazao moja kwa moja kutoka kwa …
Soma zaidi »Waziri Mkuu
November, 2025
-
7 November
KUTOKA SHAMBANI HADI SOKONI, JINSI RAPHAEL GROUP LIMITED INAVYOBADILISHA KILIMO TANZANIA.
Safari ya RGL ilianza mwaka 2003, kama biashara ndogo ya kununua na kuuza nafaka katika mkoa wa Mbeya. Leo, imekua kuwa kampuni kubwa ya kilimo, iliyosajiliwa rasmi mwaka 2010 chini ya Sheria ya Makampuni ya 2002, ikiendeshwa na wazalendo wawili wenye maono β Raphael Simon Ndelwa (80%) na Augenia Alfred …
Soma zaidi »
October, 2025
-
27 October
MKAZI WA ARUSHA AACHANA NA DAWA ZA KULEVYA, AANZISHA SHAMBA LA MAZAO YA CHAKULA
Talik Azizi Mkawa, mkazi wa Arusha, ni mfano wa kuigwa baada ya kuamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na kuanza ukurasa mpya wa maisha. Baada ya kupata nafuu, Talik amesema aliguswa na wito wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewahimiza vijana waliokuwa waraibu wa dawa za kulevya kujikita …
Soma zaidi » -
27 October
SERIKALI YA RAIS SAMIA YAWEKA MSINGI IMARA WA KUMPA KILA MTANZANIA HESHIMA NA FURSA
Utu wa mtu ni nguzo muhimu kwa kila binadamu, bila kujali anapitia hali gani katika maisha. Thamani ya utu haiwezi kupimwa kwa mali, cheo, au nafasi bali kwa jinsi tunavyomtendea binadamu mwenzetu. Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeonyesha kwa vitendo kwamba utu ni kipaumbele …
Soma zaidi » -
25 October
KUTOKA TANGA HADI SONGWE, KILIMO KINA BENKIKA πΉπΏπΎ
Safari hii tunachunguza namna kilimo kinavyobadilisha maisha ya Watanzania kutoka Tanga hadi Songwe. Tunazungumza na wakulima, wataalamu, na vijana wanaotumia ubunifu kukuza uchumi kupitia ardhi yao. π Utajifunza: Mbinu bora za kilimo cha kisasa Jinsi kilimo kinavyowezekana kuwa biashara yenye faida Mifano halisi ya mafanikio kutoka mikoa tofauti Kilimo si …
Soma zaidi » -
22 October
DCEA YANASA VIJANA WAKITENGENEZA BISKUTI ZA BHANGI KWA AJILI YA HOUSE PARTY
Katika operesheni maalum iliyofanyika eneo la Mlalakuwa, wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Kudhibiti na Kuapmbana na Dawa za Kulevya (DCEA) wamewakamata vijana wanne wakidaiwa kutengeneza biskuti za bangi kwa ajili ya sherehe ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Watuhumiwa hao ni Bright A. Malisa (26), Humphrey G. Safari …
Soma zaidi » -
22 October
JE..! UNAJUA JUKUMU LA SAFARI YA APOLLO 11, 20/07/1969 β TANZANIA ILIHUSIKA..? ππ
Safari ya Apollo 11 ni moja ya matukio makubwa zaidi katika historia ya ubinadamu β siku ambayo binadamu alikanyaga mwezini kwa mara ya kwanza. Lakini je, unajua kuwa Tanzania ilikuwa sehemu muhimu ya mafanikio hayo? Katika video hii, tunafichua jukumu la kipekee lililochezwa na kituo cha Mawasiliano cha Tanzania wakati …
Soma zaidi »
August, 2025
July, 2025
-
8 July
TAMISEMI YA SAMIA Toleo Na. 01 – Julai 8, 2025
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI)
Soma zaidi »
June, 2025
-
19 June
Daraja la J. P. Magufuli ni alama ya maendeleo ya kisasa na heshima kwa urithi wa uongozi wa awamu ya tano
Linaendeleza dira ya Tanzania ya kuwa na miundombinu ya kisasa inayochochea uchumi, kuunganisha watu na kuboresha maisha ya kila Mtanzania. #MatokeochanyA #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi » -
18 June
Sekondari za Amali 103 Rasmi Kujengwa
Shule za amali husaidia vijana kupata ujuzi wa kazi, kukuza ajira, kupunguza umasikini, na kuchangia maendeleo ya viwanda na uchumi wa taifa kwa vitendo. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #oktobatunatiki
Soma zaidi »
May, 2025
March, 2025
-
23 March
CHIFU WA MBEYA ROCKETI MASOKO MWANSHINGA AKEMEA WANAPANGA KUZUIA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi …
Soma zaidi » -
20 March
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ameshiriki katika Mkutano wa UK-Africa Health Summit 2025 uliojadili ushirikiano katika kuboresha sekta ya afya nchini
Mkutano huo pia umejadili vipaumbele vya Sera ya Afya kama vile kushughulikia magonjwa yasiyoambukiza, magonjwa ya mlipuko, kuimarisha afya ya msingi na kujengea uwezo watumishi wa sekta ya afya kwenye ubingwa bobezi kwa kubadilishana uzoefu, namna bora ya kuendelea kuboresha huduma za lishe na uimarishaji wa mifumo ya afya. Katika …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+