Recent Posts

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

GAWIO HILI LINAENDA KUPUNGUZA UTEGEMEZI – RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Katika hotuba yake yenye msisitizo mkubwa wa maendeleo na uwajibikaji, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kwa kina jinsi gawio kutoka kwenye mashirika ya umma linavyokwenda kupunguza utegemezi wa bajeti kutoka kwa wahisani na kuimarisha uchumi wa ndani. Tazama ujumbe huu muhimu unaogusa …

Soma zaidi »

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIPOKEA GAWIO NA MICHANGO KUTOKA KWA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Hafla ya Kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Tasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 10 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »