OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU

🔴 LIVE: RAIS SAMIA KUHUTUBIA BUNGE LEO JIJINI DODOMA

📍DODOMA | Juni 26, 2025 🔴 LIVE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania moja kwa moja kutoka Jijini Dodoma. Katika hotuba hii muhimu, Mhe. Rais Samia atazungumzia masuala ya kitaifa ikiwemo maendeleo ya kiuchumi, huduma za kijamii, …

Soma zaidi »

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa nguzo ya kuimarisha mshikamano na umoja wa kitaifa na kufanikisha maendeleo katika sekta mbalimbali za maendeleo

Amesema kuwa katika kipindi cha uongozi wake, Rais Dkt. Samia ameweza kusimama imara katika kuendeleza miradi ya kimkakati na huduma za jamii, kusimamia demokrasia, kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia. Amesema hayo leo (Alhamisi, Juni 26, 2025) wakati alipotoa hoja ya kukamilisha shughuli za Bunge la 12, Bungeni jijini Dodoma. “sina …

Soma zaidi »

VIJANA WAMWAGA SIFA KWA SERIKALI KATIKA KONGAMANO LA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DODOMA

Katika kilele cha Kongamano la Vijana Kupinga Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya lililoandaliwa na Mamlaka ya Kupiga vita na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) lililofanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma, vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walijitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi za serikali katika …

Soma zaidi »

TAMASHA LA VIJANA KUPINGA MATUMIZI NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA LAFANA JIJINI DODOMA

Mamia ya vijana kutokamaeneo mbalimabli katika mkoa wa wa Dodoma wamekusanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma kushiriki Tamasha la Vijana lililolenga kutoa elimu kuhusu madhara ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya. Tamasha hili lilifanyika kwa heshima ya kuadhimisha kilele cha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi …

Soma zaidi »

FAINALI WIKI YA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA – WAGOLOKO FC YAICHAPA MWAISE FC 2-0

Katika fainali ya mpira wa miguu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, timu ya Wagoloko FC iliibuka kidedea kwa kuifunga Mwaise FC mabao 2–0, mbele ya mamia ya mashabiki waliokuwa wakishangilia kwa hamasa kubwa. Kamishna Lyimo amesema tukio hilo limekuwa zaidi ya mchezo limekuwa darasa la mshikamano, nidhamu …

Soma zaidi »

TANZANIA YAITIKISA DUNIA KATIKA WIKI YA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA – KAMISHNA ARETAS LYIMO

Mara baada ya kufungwa kwa mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa katika kuadhimisha Wiki ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Duniani, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania, Aretas Lyimo, amesema kuwa Tanzania imeonesha dhamira ya kweli kwa vitendo katika mapambano hayo kwa kushirikisha jamii, …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA ANATAMBUA MCHANGO WA BUNGE KWENYE KUHAMAISHA MICHEZO-MAJALIWA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika tamasha la Grand Bunge Bonanza lililofanyika katika viwanja vya shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma.

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KILELE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TET

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Juni 17, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yanayofanyika katika Bamaga Jijini Dar es Salaam.

Soma zaidi »