#MSLAC #SisiniTanzania #SisiniTanzania #sisindiowajenziwatanzaniayetu #nchiyangukwanza #Naipendanchiyangu #matokeochanya #SSH #kazinaututunasongambele #Mslac #katibanasheria
Soma zaidi »KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE…
#MSLAC #SisiniTanzania #SisiniTanzania #sisindiowajenziwatanzaniayetu #nchiyangukwanza #Naipendanchiyangu #matokeochanya #SSH #kazinaututunasongambele #Mslac #katibanasheria
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 8, 2025 ameshiriki Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge jijini Dodoma.
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWATAKA VETA KUTOA MAFUNZO YANAYOZINGATIA SOKO LA AJIRA
Ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira. “Mahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara kwa ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi, na mashirika ya kimataifa.” Ametoa wito huo …
Soma zaidi »LIVE: BUNGE LA 12 MKUTANO WA 18 | KIKAO CHA 10 | TAREHE 10 FEBRUARI 2025 – YALIYOJIRI ASUBUHI!
📺 LIVE: Bunge la 12 | Mkutano wa 18 | Kikao cha 10 | Tarehe 10 Februari, 2025 | Asubuhi Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya Kikao cha 10 cha Mkutano wa 18 wa Bunge la 12! Leo, wabunge wako tayari kujadili na kupitisha maamuzi muhimu yanayogusa maendeleo …
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameviagiza vyombo vyote vya usalama vihakikishe watu wote waliokwama ndani ya jengo lililoporomoka katika kata ya Kariakoo jijini Dar es Salaam wanaokolewa huku mali zao zikilindwa.
Ametoa agizo hilo (Jumamosi, Novemba 16, 2024) baada ya kushuhudia juhudi za uokoaji zinavyoendelea baada ya jengo ghorofa nne kuporomoka katika eneo la Karikoo. Akizungumza baada ya kukagua juhudi za uokoaji katika eneo hilo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Majaliwa amesema hadi sasa watu 40 mejeruhiwa ambapo …
Soma zaidi »Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Akagua Miradi ya CSR ya TPDC Msimbati, Mtwara
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, alifanya ziara wilayani Mtwara, kijijini Msimbati, ambapo alizungumza na wananchi baada ya kukagua majengo ya Kituo cha Afya na Kituo cha Polisi. Vituo hivi vimejengwa kwa kutumia fedha zilizotolewa kupitia Mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) wa Shirika la …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AONGOZA MAZIKO YA MAREHEMU LAWRENCE MAFURU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 15, 2024 ameungana na ndugu, jamaa, marafiki na viongozi wengine wa Serikali katika mazishi ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango, Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru. Maziko hayo yamefanyika katika Makaburi ya Kondo, Ununio jijini Dar es Salaam. Marehemu Mafuru alifariki Novemba 09, 2024 …
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Mafuru kwenye viwanja vya Karimjee
Tukio la kuaga mwili wa Marehemu Lawrence Mafuru liliongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma zaidi »Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuleta ufanisi zaidi katika kuwahudumia wananchi
Amesema kuwa maboresho hayo ya matumizi ya mfumo wa kielektroniki yatasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza matumizi ya karatasi katika vikao vya Serikali, hususan Baraza la Mawaziri, hivyo kupunguza changamoto ikiwemo kuchelewa kwa taarifa, gharama kubwa za uchapaji na hatari ya upotevu wa taarifa muhimu. Amesema hayo leo (Jumatatu, Novemba 11, …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+