Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Juni 17, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yanayofanyika katika Bamaga Jijini Dar es Salaam.
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIWEKA JIWE LA MSINGI KWA NIABA YA SHULE ZOTE 103 ZA SEKONDARI ZA AMALI NCHINI
HILI NI JIJI LA MFANO KATIKA UTUNZAJI WA MAZINGIRA – Mhe. Rosemary S. Senyamule
๐ฌ Toa maoni yako: Unadhani miji mingine inajifunza nini kutoka Dodoma? ๐ Like | ๐ Share | ๐ Subscribe kwa taarifa zaidi za maendeleo nchini Tanzania! #Dodoma #Mazingira #SafiNaKijani #RosemarySenyamule #TanzaniaYaKijani #UsafiNaUtunzajiMazigira #MaendeleoEndelevu
Soma zaidi »