DIPLOMASIA

TUIDUMISHE AMANI KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI – SALIM MZEE SEIFU

Salim Mzee Seifu amepongeza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akieleza jinsi ambavyo huduma za elimu, maji na miundombinu ya barabara zimeboreshwa kwa kiwango kikubwa katika mji wa Sumbawanga. Amesema maendeleo haya yanaonesha dhamira ya kweli ya serikali katika kuinua maisha ya …

Soma zaidi »

HOTUBA YA MAKONDA ILIYOWALIZA WANANCHI MPAKA MACHOZI: UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA.

Hotuba hii ya Paul Makonda imewagusa wengi kwa kina! ๐Ÿ’” Katika uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria, Makonda amezungumza kwa hisia kali kuhusu haki, uonevu, na umuhimu wa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kupata uwakilishi wa kisheria. ๐ŸŽค Katika hotuba hii, utashuhudia: โœ… …

Soma zaidi »

TUILINDE AMANI KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

Ibrahim Hamisi Msaga, mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga kata ya Katandala, ameipongeza serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo katika Mkoa wa Rukwa. Ametaja miradi hiyo kuwa ni pamoja na ujenzi wa Uwanja wa Ndege, Hospitali za kisasa, na shule zenye miundombinu bora …

Soma zaidi »

TUSHIRIKI UCHAGUZI KWA KUHESHIMU KATIBA NA KUTHAMINI ELIM- EUNICE ISAACK WILOMO-

Eunice Isaack Wilomo amepongeza juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, hususan kuendeleza elimu bila malipo kwa watoto wa Kitanzania. Amesema serikali ya Awamu ya Sita imeboresha mazingira ya kujifunzia kwa kuweka umeme mashuleni, kuweka madirisha ya kisasa na marumaru kwenye madarasa, jambo linalochochea ubora …

Soma zaidi »

CHIFU WA MBEYA ROCKETI MASOKO MWANSHINGA AKEMEA WANAPANGA KUZUIA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI

Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi …

Soma zaidi »

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo, Machi 21, 2025 amewasili Mkoani Njombe ambapo pamoja na mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi katika kilele cha Siku ya Misitu Duniani inayofanyika kitaifa Mkoani Njombe

Akiwa Mkoani humo, Mheshimiwa Waziri Mkuu ametembelea kiwanda cha uchakataji mazao ya misitu cha TANWAT (Tanganyika Wattle Company Limited) kilichopo Njombe mjini ambapo ameshuhudia shughuli mbalimbali zinazofanywa na kiwanda hicho. Akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda hicho Waziri Mkuu amewasihi wafanyakazi wa kiwanda hicho kufanya kazi kwa weledi ili kufanikisha malengo …

Soma zaidi »