Katibu wa mkoa wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) mkoa wa Singida, Deogratius Rugambwa, amemshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kufanyika kitaifa katika mkoa wa Singida. Ameeleza kuwa hatua hiyo ni ya kihistoria na inaongeza heshima …
Soma zaidi »SINGIDA YAMKARIBISHA KWA SHANGWE RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA MEI MOSI 2025
Wameeleza furaha yao juu ya ujio wa Mhe Rais Samia kwenye maadhimisho hayo ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Singida. Kauli mbiu ya mwaka huu ni: “Uchaguzi Mkuu wa 2025 utuletee viongozi wanaojali na kuthamini haki na maslahi ya wafanyakazi, Sote tushiriki.” #MeiMosi2025 #SingidaNaSamia #SamiaTheGameChanger
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mapema leo Aprili 30, 2025 amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma
SOKO LA KUBADILISHIA FEDHA LEO 30/04/2025
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE…
#MSLAC #SisiniTanzania #SisiniTanzania #sisindiowajenziwatanzaniayetu #nchiyangukwanza #Naipendanchiyangu #matokeochanya #SSH #kazinaututunasongambele #Mslac #katibanasheria
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho ya masuala ya kilimo nje ya Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania
RAIS DKT. SAMIA AKITUNUKU NISHANI YA MUUNGANO NA KUZINDUA KITABU CHA MWALIMU NYERERE
MWALIMU. J K NYERERE, HOJA JUU YA TANZANIA NA MUUNGANO
Katika historia ya Tanzania, jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere linang’aa kwa upekee kama kiongozi aliyesimama kidete kuasisi na kulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kupitia fikra zake makini na maono yake ya kina kuhusu mustakabali wa Afrika, Mwalimu Nyerere alijenga hoja nzito juu ya umuhimu wa Muungano kama njia …
Soma zaidi »Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefeka Mashamba ya bangi mkoani Shinyanga
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imefanya operesheni maalum katika mikoa mbalimbali, ikiwemo Shinyanga, na kufanikisha ukamataji wa jumla ya kilo 54,506.553 za dawa za kulevya. Katika operesheni hiyo, …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+