Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — mtu aliyeweka msingi wa umoja, utu na maendeleo kwa taifa letu. Fikra zake bado zinatupa dira ya kujenga Tanzania yenye haki, usawa na heshima kwa kila mmoja. Ni siku ya kutafakari, kujifunza, na kuendeleza maono yake kwa vitendo — katika …
Soma zaidi »RAIS DKT. SAMIA AKITUNUKU NISHANI YA MUUNGANO NA KUZINDUA KITABU CHA MWALIMU NYERERE
MWALIMU. J K NYERERE, HOJA JUU YA TANZANIA NA MUUNGANO
Katika historia ya Tanzania, jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere linang’aa kwa upekee kama kiongozi aliyesimama kidete kuasisi na kulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kupitia fikra zake makini na maono yake ya kina kuhusu mustakabali wa Afrika, Mwalimu Nyerere alijenga hoja nzito juu ya umuhimu wa Muungano kama njia …
Soma zaidi »🔴#LIVE: MHE. RAIS DKT SAMIA AKIHUTUBIA TAIFA KUELEKEA MIAKA 61 YA MUUNGANO
Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+