Demokrasia

ARUSHA YAANDAA MAADHIMISHO MAKUBWA YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, ZAIDI YA WATU LAKI NNE KUSHIRIKI

Arusha, Machi 2025 – Jiji la Arusha linajiandaa kwa maadhimisho makubwa ya Siku ya Wanawake Duniani, ambapo kilele cha sherehe hizo kitahitimishwa kwa heshima na mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa mujibu wa Meya wa Jiji la Arusha, hafla hiyo inatarajiwa …

Soma zaidi »

ZAIDI YA WATU LAKI NNE KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI JIJINI ARUSHA

Arusha, Machi 1, 2025 – Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Maximilian, ametangaza kuwa zaidi ya watu laki nne wanatarajiwa kushiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika jijini Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mhe. Maximilian amesema maandalizi yanaendelea vizuri, huku jiji likijiandaa kupokea wageni …

Soma zaidi »

ZAHANATI YA SHULE YA WASICHANA TANGA NI MFANO WA KUIGWA.

Zahanati iliyopo katika Shule ya Wasichana imeleta mchango mkubwa katika utoaji wa huduma za afya kwa wasichana na jamii kwa ujumla. Hatua hii ni matokeo ya juhudi za pamoja kati ya serikali kuboresha sekta ya elimu na afya. Rais Samia ameonyesha msaada wake wa dhati kwa sekta ya afya kwa …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA AMWAGA NEEMA KWA WAVUVI MKOANI TANGA, BOTI ZA KISASA 35 ZA GAWIWA KWA WANANCHI

Tarehe 26.02.2025 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga amegawa boti 35 zenye thamani ya shilingi bilioni 4.47 kwa wavuvi wa Wilaya ya Pangani ikiwa ni awamu ya pili kwa Rais Mhe. Dkt. Samia kutoa boti kwa wavuvi Mkoani Tanga. Boti hizo zina uwezo …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA UFUNGUA KIWANDA CHA SARUJI NA CHOKAA PHASE TWO CHA MAWENI LIMESTONE LTD

Katika hatua nyingine, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka historia kwa kufungua rasmi Kiwanda cha Saruji na Chokaa cha Maweni Limestone kilichopo Jijini Tanga. Uwekezaji huu mkubwa unalenga kuchochea ukuaji wa sekta ya viwanda nchini, sambamba na dhamira ya serikali ya kuirejesha Tanga katika hadhi yake kama kitovu cha viwanda …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Soma zaidi »