BUNGE LA TANZANIA

MHE. RAIS DKT.SAMIA AKIWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA SPIKA MSTAAFU WA BUNGE HAYATI JOB NDUGAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwaongoza Waombolezaji Kuuaga Mwili wa Spika Mstafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, leo tarehe 10 Agosti, 2025.

Soma zaidi »

TATHMINI YA HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIVUNJA BUNGE JIJINI DODOMA – 2025 πŸ›οΈ

Katika video hii tunakuletea uchambuzi wa kina na tathmini ya hotuba ya kihistoria iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa kulivunja Bunge la 12 jijini Dodoma. Rais Samia amegusia mafanikio ya serikali ya awamu ya sita, changamoto zilizokumbwa, na dira ya …

Soma zaidi »

πŸ”΄ LIVE: RAIS SAMIA KUHUTUBIA BUNGE LEO JIJINI DODOMA

πŸ“DODOMA | Juni 26, 2025 πŸ”΄ LIVE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania moja kwa moja kutoka Jijini Dodoma. Katika hotuba hii muhimu, Mhe. Rais Samia atazungumzia masuala ya kitaifa ikiwemo maendeleo ya kiuchumi, huduma za kijamii, …

Soma zaidi »

πŸ”΄ LIVE: RAIS SAMIA KUHUTUBIA BUNGE LEO JIJINI DODOMA

πŸ“DODOMA | Juni 26, 2025 πŸ”΄ LIVE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania moja kwa moja kutoka Jijini Dodoma. Katika hotuba hii muhimu, Mhe. Rais Samia atazungumzia masuala ya kitaifa ikiwemo maendeleo ya kiuchumi, huduma za kijamii, …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho Mhe. Rais Dkt. Samia atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Soma zaidi »

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ . BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA, KIKAO CHA 45, 12 JUNI 2025

ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO I.DUA II.HATI ZA KUWASILISHA MEZANI III.MASWALI IV.HOJA ZA SERIKALI #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA KIKAO CHA KUMI NA SABA, 05 MAY 2025.

#ijuesheria #section4wakilitv #chadema #bungelive #ijuesheria #section4wakilitv #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »