SERIKALI IMEAHIDI KULIFANYIA KAZI SWALA LA MABADILIKO YA KATIBA – RAIS. DKT. SAMIA

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea kulipa kipaumbele suala la mabadiliko ya Katiba na kwamba hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa ili kufikia mwafaka unaokubalika kwa Watanzania wote.

#kilimobiashara #tanzania #wakulima #fursazakilimo #africa #kilimobora #katibampya #KATIBAYATANZANIA #tanzania #samiasuluhu

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *